Bei imepungua sasa kwa hii nyumba mwenyewe anaitupa kwa sh milion 6.5, huduma zote zipo maji na umeme, Nyumba ina room 3 mbili zimekamilika na ni kubwa Uwanja wake ni 10 kwa 10 Location morombo murriet- Arusha
TSh6,500,000