Oppo a51 Storage 64gb Ram 4gb Fingerprint uhakika Face id uhakika Battery 5000mAh kuanzia asubuhi mpk jioni na bado ipo gado Haina kipengere chochot km unavoona simu bado mpya Mali safi wahi kabla haijapanda bei Bei 220,000 Ncheki apo 0787087605 Kama la kuongeza lipo namby nkupe sifa zake
TSh220,000