Ni nyumba nzuri sana na ni ya kisasa kabisaa inapangishwa moshono, nyumba ina sifa zifuatazo:- 1 Ni selfu ya chumba sebule choo jiko kubwa ndani 2 Ni fully furnished, nyumba ina kila kitu ndani ndg 3 Unaenda na bag lako nguo tu, mazingira mazuri sana
TSh300