Ni nyumba nzuri sana inapangishwa Olasiti maeneo ya mjengoni kwa chini, nyumba ina sifa zifuatazo:- 1 Ni room moja kubwa yenye choo ndani, parking ipo 2 Wapangaji 4 umeme wanashea wawili wawili tu 3 Maji yapo mengi, nyumba ni mpya kabisaa wahi sasa
TSh65,000