Nauza Azam Tv Full set Dish na Decoder yake Vipo katika hali nzuri ila bado dish halijafunguliwa ukihitaji unafika unashushiwa unaondoka na Mali yako Vinapanda Kigamboni Dar es Salaam
TSh100,000