Shuka zenye Pazia zake na Foronya zake (10PC set) Shuka 2 Pazia 4 Foronya 4 Bei :100,000/= Location :Kariakoo, Congo - narung'ombe _Kwa wateja wetu wa Dar tuna delivery Gharama kuanzia 3000-5000 inategemea na maeneo unayopatikana na unalipa baada ya kupokea mzigo. _Kwa wateja walio mikoani unatutumia Pesa ya mzigo na usafiri tunakutumia. Kwa Maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia namba hizi 0654977137...
TSh100,000