Milion 26 ipo Mondale msongola wilaya ya ilala Jimbo la UKONGA kata ya kivule Ina eneo square meter 800 ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa upimaji shilikishi Usha fanyika Vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom ina sitting room na jiko na public toilet pamoja na kisima cha maji na umeme Kutoka bara bara kuu ya Rami kuja kwenye hii nyumba ni kilometer 2 tu Yani ni kalibu sana maelezo piga cm
TSh26