Nyumba inauzwa (Pagale) Lipo kibaha kongowe Bei Mil. 6,500,000/= Vyumba vitatu, dining, sebule, choo Ukinunua ni kuweka lenter na bati tu unaingia.. Kutoka barabara ya morogoro road Hadi kwenye nyumba kwa boda boda ni 1000 tu na unaweza ukatembea.. pia Serikali ya mtaa wana taarifa..
TSh6,500,000