Interlock ndio tofal pekee ambayo inajengwa bila udongo wa kujengea yaan motar joint hivyo hauhitaji cement mchanga Wala maji Kwan zinajifunga zenyewe kwa zenyewe baada ya kujenga msingi Kwa muonekano wa kipekee sehemu uliyopo Jenga kwa interlock uwe wa tofauti Tofali hii aina yeyote ya ujenzi inajenga yaani nyumba ya chini , ghorofa na fence See more
FREE