Ni nyumba nzuri sana inapangishwa mianzin maeneo ya ofisi ya kijiji, nyumba ni mpya kabisaa, nyumba ina sifa zifuatazo:- 1 Ni selfu ya chumba sebule choo jiko kubwa ndani 2 Nyumba ina mazingira mazuri, parking ipo kubwa 3 Nyumba ina Wapangaji wawili kila mtu mita ya maji 4 Mita 150 toka lami ya kupanda juu, wahi
TSh150,000