NYUMBA YA VYUMBA VITANO VYA KULALA KIMOJA MASTER,SEBULE, DINING,STOO NA JIKO IPO CHANIKA BUYUNI KWENYE FENCE NA GETI. KODI KWA MWEZI SH. 300,000/= ,UMEME UNAJITEGEMEA NA MAJI VIPO. MAJI YANATOKA HADI CHOONI. KUPELEKWA KUKAGUA SH. 5,000/= PIGA/WHATSAPP/EMAILS +255765291521,0679291521 info@dbt.co.tz, deodionise@gmail.com
TSh300,000