Inauzwa Nyumba arushaa tanzania Kwenda kwenye nyumba unashuka na barabara ya france kona mpaka dampo unaacha dampo kwa chini yake ndo njia ya kwenda kwenye nyumba Ni nyumba classic Bado mpyaaa Ni nyumba yenye room tatu za kulala room mbili ni master Ina public toilet Ina jiko na store Ina sebule na dairning Nyumba yote imepigwa See more
TSh78