Linda eneo lako la biashara au nyumbani kwako kwa kujipatia PTZ WIFI CAMERA. hii camera ina uwezo wa kuzunguka 360 na kuona matukio yote yanayotokea eneo husika. ina sehemu ya memory card ambayo inakusadia kuhifadhi matukio na kuja kuyaangalia ukipata muda. unaweza ona matukio yanayoendelea nyumbani au ofisini kwako kupitia simu yako. See more
TSh120,000