Nauza Kiwanja changu mwenyewe kina ukubwa wa MITA 30X30, Bei Mil 2.5 Kipo Halmashauri ya Mji Kibaha, Mtaa wa Lumumba mpakani na Mbezi Mpiji Magoe. Nauli ya Bodaboda ni 2000/= toka Mbezi Mpiji Magoe/ Kutoka Maili Moja pia ni 2000/= mpaka SITE. PIGA: 0673661866 0624882188
$1