Unahitaji kupendezesha ndani kwako, Je unahitaji mazulia ya kinyama kwaajili ya hapo sebuleni? Okay, haijalishi ni sebule au chumba ila haya yatafanya chumba chako kiwake haswaa... Muhimu uchague rangi ya kuendana napo.
TSh80,000