Nauza kiwanja, vipo vipande viwili kila kipande kimoja nauza kwa shilingi laki tano tu. Unaruhusiwa kuchukua kimoja au vyote viwili. Kila kipande kina ukubwa wa mita 2020. Viwanja vipo chanika homboza vipo umbali wa km6 kutoka chanika mwisho mpk site.usafili Bajaj elf mbili. Unaruhusiwa kulipa kwa awamu mbili.. 0699527514
TSh500,000