Waungwana habari zenu nauza hii midi keyboard YAMAHA KX 61 iko na pich band mbil haina kipengere chochote nahitaji 450k (laki nne na nusu) Kwa mwasiliano nipigie simu namba 0654869695 location posta ya uwanja wa ndege dar es salaam. Karibu sana
TSh450