Viti viwili kila kimoja hamsini Viyoo viwili kila kimoja stini vina frame kila kimoja draya mpya laki na sabini stima mpya laki na 80 alafu kuna stma ingine laki na hamsini roller na stand yake 80000 cha kuoshea nywele 50000 zulia ni kubwa sana 90000 vinapatikana Africana mbezi beach pia kuna madawa na vitu vingine vidogo vidogo 0710448099
FREE