Manual grinder.. Ni kifaa kizuri kinachofaa kukatia mboga za majani, kusagia nyama, kusaga juice na wala haitaji kutumia umeme kwani inatumia mikono tyu Ina visu vikali sana na ina speed 1-3 inayosaidia kufanya kazi zote tajwa hapo juu..Kama utapendelea tafadhali piga 0624444138
TSh23,000