Kodtec 2 in 1 blender. Blender nzuri sana na ya kisasa. Inasaga matunda yote, vitu vikavu na vilaini. Nzuri sana kwa matumizi ya majumbani na biashara. Inakuja na warranty ya mwaka mzima. Karibu sana dukani kwetu.
$55,000