Tunatengeneza picha mbao size tofauti tofauti kwa ubora wa hali ya juu na gharama nafuu sana. Karibu kwa kumbukumbu na zawadi kwa ajili ya mpendwa wako Zipo size mbalimbali na bei zake ni kama ifuatavyo:- A5 - 10,000/= A4 - 15,000/= A3 - 25,000/= A2 - 50,000/= A1 - 90,000/= A0 - 180,000/=
$10,000