Nauza sabufa mpya kabisa aina ya Aborder (Sound bar) kwa Tsh. 125,000/= tu. Inatumia Bluetooth, flash, Memory card, Aux na FM. Kwa waliopo Dar es salam unaletewa mzigo mpaka ulipo (Free delivery) na utalipia baada ya kupokea na kukagua mzigo wako. Pia zina Warranty ya mwaka mmoja Location: Ubungo
$125