Nyumba selfu ya room tatu inauzwa ilboru mwisho wa lami. Nyumba ina room 3 za kulala 1 masterbedroom, sebule, choo cha pamoja,jiko, dinning room, stoo. Nyumba iko kwenye eneo la 30x26 Nyumba iko kwenye hatua ya finishing Nyumba imezungushiwa ukuta, ina barabara mpka kwenye nyumba. Maji na umeme vipo jirani mita moja nje ya ukuta. Bei ni milioni 80M maongezi yapo Kwa mawasiliano 0692620305
TSh80