Ni nyumba nzuri sana inapangishwa kwa mromboo mwisho wa Haice, nyumba ina vyumba viwili vya kulala moja ni master public toilet na jiko ndani, nyumba ina jitegemea yenyewe ndani ya geti kubwa, mazingira mazuri sana wahi ndg yng Umbali wake toka lami ni kama mita 300 hivi Kodi yake kwa mwezi ni 200000/= Kodi ilipwe kuanzia miezi 3 nakuendelea According to dalal 0753147673
$200,000