Hii ni router unayopewa kwa kulipia kasi/speed ya internet bila ukomo wa matumizi ni nzuri maofisini inauwezo wakuunganisha hadi vifaa 50 pre once furahia internet isiyokuwa na ukomo wa matumizi/unlimited kwa gharama ndogo sana
TSh15