Ni gorofa inapangishwa jijin Arusha masai camp suye mtaa wa kwa b dee yenye bedroom 5 za kulala chini ni bedroom tatu zakulala moja Master public toilet sitting kitchen dining na juu kuna bedroom 2 zakulala zote Master nyumba ina jitegemea yenyewe bei laki 5 x6 kutoka barabara kuu ya lami mita 500 mwenye kuitaji apige 0753503791/0784457400
TSh500,000