Nyumba inauzwa bei nafuuu sana Ipo kibamba mjimpya mwendo wa dakika 13 mpaka barabara ya lami.. ina vyumba 3 vya kulala dinning room, sitting room na jiko... Ina frem na fensi bila kusahau maji na umeme vipo Bei 36M maelewanao yapo pia Mawasiliano 0782951455/ 0786871224
TSh36