Zinaitwa FASHION SPEAKERS zinakuwa pair watt 50 na 40, ni mziki soft kwa wenye restaurant, lounge, pub, kanisani, msikitini, nyumbani na popote pale zinafungwa bila shida yeyote ile. Zinakuja na bracket yake ya nyuma, unafunga kwenye mbao, chuma, ukutani na popote pale zinakaa. Zote mbili unalipia laki tatu.
FREE