NYUMBA YA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER,SEBULE, DINING,STOO NA JIKO. PIA INA FREMU YA BIASHARA. IPO CHANIKA MASANTULA KWENYE FENCE NA GETI. KODI KWA MWEZI SH. 250,000/= KUANZIA MIEZI MITATU ,UMEME UNAJITEGEMEA NA MAJI VIPO. MAJI YANATOKA HADI CHOONI. KUPELEKWA KUKAGUA SH. 5,000/= PIGA/WHATSAPP/EMAILS +255765291521,0679291521 info@dbt.co.tz, deodionise@gmail.com
TSh250,000