Serikali ipange utaratibu mzuri wa utoaji wa ujenzi wa misikiti na makanisa imefika hatua kwenye kamazi ramani za makazi maeneo ya open space yanajengwa nyumba za ibada sio jambo baya ni nambo jema lakini kwa upande wa kibinadamu wengine tulinunua maeneo tukahakikisha ramani ni makazi tayari gafla mtu anakuja kukujengea nyumba ya ibada spika See more
$20