APARTMENT NZURI ZIMEBAKI CHACHE CHUMBA NA SEBULE ZIPO KIGOGO FRESH-PUGU NDANI YA FENCE NA GETI UNAPAKI GARI, BASI MOJA HADI MJINI,TEMEKE,GONGOLAMBOTO,UBUNGO, KARIAKOO. KODI KWA MWEZI SH. 100,000/= KUANZIA MIEZI MINNE, MAZINGIRA NI TULIVU,CHOO,MAJI NA UMEME PEKE YAKO. KUPELEKWA KUKAGUA SH. 5,000/= PIGA/WHATSAPP/EMAILS +255765291521,0679291521 info@dbt.co.tz , deodionise@gmail.com
TSh100,000