Offer ya wikiend mjengo bei imeshuka njoo ujiwahie mjengo wa ghorofa unauzwa kwa bei ya kutupwa mjengo huu ni wa ghorofa 3 chini umekalimika ila kwa kwenda juu bado haujakamilika ila una matoleo ya kujenga ghorofa 3 unauzwa kwa bei ya kutupwa shillingi milioni 130 kwa mteja aliye serious nicheki kwa namba 0712 553907 au 0783 282099 tufanye biashara See more
TSh130