Habari wandugu boss maji yamemfika shingoni - vyumba kulala vitatu viwili ni master -Ina sebule moja kubwa -valanda nje kubwa -parking ya gari zaidi ya tatu -inanafasi kubwa saana -ina gate mazingira ni ndani kwa ndani Fensi uhakika -napia ina jiko kubwa tena la nje -madirisha almunium -feni kila chumba Karbuni sana eneo Vigoa/chamazi
TSh37