Nyumba inauzwa kigamboni kibada sungurani nyumba ina vyumba vitano masta 4,jiko,sebule, dinning, fence,kilomita 3 kutoka kibada senta, eneo lake sqm 800,nyumba inauzwa milion 150 maongez kidogo,nyumba iko sehem nzuri na panapitika mda ote ata wakat wa masika,huduma zote ziko karibu,piga sim/WhatsApp 0686079025
TSh150,000,000