Nyumba inauzwa Ipo Chanika zingiziwa Ina vyumba 3 na sebule, 2 master Ina store, jiko, dining room na public toilet Ukubwa wa kiwanja 35 kwa 40 Uwani kuna sehem imebaki unaweza kujenga vyumba 3 na sehem ya kulazia gari km 2 hv Tyres, gypsum na madirisha ya vioo Imezungushiwa fence parking ipo Umbali kutoka barabara kuu ya lami Dk 2 tu. Bei million See more
TSh50