Duvet 1 Bei : 35,000 Size: 5x6 Tupo Dar Kariakoo Mtaa wa Narungombe na Congo Kwa wateja wetu wa Dar Delivery ipo na utachangia Kidogo Gharama za Usafiri Kwa wateja wetu wa Mikoani utaratibu upo hivi kama kuna mtu unayefahamiana nae yupo Dar, tunampelekea mzigo anatupatia Pesa yetu alafu yeye ndiye anayekutumia mzigo mkoa. Nafikiri huo ndio utaratibu salama kwa pande zote Mbili Kwa Maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia namba hizi 0654977137
TSh35,000