Blender ndogo za kisasa za kuchaji. Ni blender ndogo yani portable inayokuwezesha kusaga na kutengeneza juisi ya matunda mbalimbali bila kutegemea uwepo wa umeme, wala chujio ama glass ya kunywea, utatengeneza juisi na kunywa popote pale ulipo, iwe nyumbani, ofisini, njiani, chuo, safarini, gym, camp au vacation. Inatumia waya wa USB kuchaji hivyo See more
TSh25,000