Jamani hizi ni shuka za USA ni shuka mbili na foronya nne hazichuji hazipauki wala haitoi vipele ni nzuri mnoo size yake ni 8/9 bei Tsh.35000/= ni cotton karibuni na asante
TSh35,000