Nyumba ipo karibu na stand ya dala dala. Gharama yake ni Milioni 42. Maongezi yapo. Ina vyumba 10 na vina wapangaji. Mauzo Haina dalali wala gharama za kupelekwa. Unaona unaongea na mwenye nyumba direct. Ina hati ya hakiAnauza kwa ajili ya familia yake. Piga simu 0764292975
TSh45