Nyumba ina uzwa ipo Mkuranga pwani, ina vyumba3 vyote masteroom,pablic toiret,dineroom,sittingrooom, stoo,jiko,ina kisima cha pampu,ina umeme,maji ya bomba,na tenki la maji,inaukubwa wa sqm 4900,kuna minazi ,miembe yakisasa,michungwa,nk bei milion 130 , 0742179412,. 0717025271
TSh130