Kinglion hii hapa ipo sokoni haina kipengele cha aina yoyote engine kinanda sana tena sana haijawahi kushushwa bei laki tisa tu full documents stata jino moja engine kimya cc 150 haijafanya kazi ngumu hata kidogo imetunzwa 0694372828 Stata jino engine kimya
TSh850,000