NYUMBA ZINAUZWA KATORO UKUBWA WA KIWANJA NI 23 KWA 22.ZINAHITAJI UMALIZIAJI Kiwanja kina nyumba mbili nyumba ya kwanza ina chumba kimoja na sebure na single mbili. Nyumba ya pili ina vyumba 3 vya kulala,chumba kimoja ni self,vyumba 2 vina self moja,na ina sebure mbili,sitting na dinning rooms Shimo la choo lipo. Njoo na milion 45 tu mazungumzo yapo Piga simu 0755718519
TSh45