Hii hapa boxer ina engine ya Fekon inauzwa bei laki tatu na nusu full documents zipo unawasha na kuondoka imefungwa engine mpya kabisa engine ya dukani na Ina miezi mitatu tangia ifungwe kinanda sana haijafunguliwa funguliwa 0694372828 njoo ukague mwenyewe ujionee documents zipo bei laki tatu na elfu thalathini tu
TSh350,000