Azam dekoda mbili complete bado mpya na zinapackage ndani bei 130k kwa kila moja,(pamoja na fundi) Friji kali la mlango mmoja linagandisha sanaa bei 270k Kitanda cha 5 kwa 6 na godoro lake la Tanform inch 6 bei 230k Location mbauda Arusha
FREE