NYUMBA NZURI INAUZWA MILIONI 120 Maongezi yapo. Nyumba Ipo Pugu Kona Manispaa ya Ilala Dar es salaam. Vyumba 3 Sitting room Chumba Kimoja master jiko store Dining room na public Toilet. Nyumba Ina maji safi na umeme Nyumba Ina Tiles na Jypsum. Nyumba full A/C. Kiwanja sqm. 600 Hati ya mauziano ya ofisi ya serikali za mtaa.
TSh120