75,000Tsh Induction Electric cooker, Jiko limetengenezwa kwa clay material na lina function ya touch screen. Kutokana na umadhubuti wake surface haina hatari ya kupasuka kwasababu technology iliyotumika inaifanya isipate moto wakati wa kupika! Ina watts 2000W inayokusaidia kufanya economy ya umeme. Linatumia unit 1 kwa lisaa sawa sawa na 400Tsh See more
TSh75,000