Karibuni sana kwenye kuipendezesha nyumba yako kwa mapazia mazuri kwa bei nzuri, ukichukua kuanzia pisi kumi utazipata kwa shilingi 15,000 yaani elfu kumi na tano kila moja. Na kwa bei ya reja reja pia tunauza kuanzia pisi mbili, na bei ya reja reja kwa moja moja ni 18,000 yaani elfu kumi na nane tu, karibuni sana, 0656214630 Location ya ofisi yetu ya mapazia ni Tabata Segerea sheli.
TSh18,000