Habari jaman nauza Mali izo Kuna Tv nch24 Abodar Iko vzr sana na box lipo bei 160,000 Kuna sofa ya watu wawili ya leza ni ya kisasa na Iko vzr bei 130,000 Kuna godoro 5/6 nch6 superbanco alijabonyea bei 95,000 Kuna kitanda 5/6 bei 80,000 Kuna meza ya ges mtung mdogo 28,000 Mali zote halal Mahali ni mbeya mjini airport ya zaman Hali ya hewa 0625710214
$4