Inapangishwa burka arusha Ni nyumba mpyaa classic Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja master Ina makabati vyumbani Ina jiko lenye makabati Ina sebule kubwa Ina public toilet Umeme unajitegemea na maji Ina electric fance Ina parking Bei 600,000/=kwa mwez Kod ilipwe miezi mitatu au sita Call 0758105801/0693412119
TSh600,000