Fekon cc 125 ipo sokoni haina kipengele cha aina yoyote engine kinanda sana kimya safari popote imenyooka kama unavyoiona full documents zipo stata jino moja na kuondoka hugusi popote bei laki nane na elfu hamsini tu 0785034183
TSh850,000